Ezekiel 19:6


6 aAlizungukazunguka miongoni mwa simba,
kwa kuwa sasa alikuwa simba mwenye nguvu.
Akajifunza kurarua mawindo
naye akala watu.
Copyright information for SwhKC